Hongera Uhuru Kenyatta

lkn hayo ni mambo Kike, ni Wanawake ndiyo huliganisha Wanaume zao na wengine ili kuwatia wivu!
Kama ambavyo mtazamo wako unaheshimiwa ndivyo ambavyo unapaswa kuheshimu mitazamo ya wengine, kejeli hazijengi!!
 
Naona groves zmefanya kazi yake sisi magu angeng'ang'ania azivue hatuna utamaduni huo Africa
 
Dah... Akiamka tu...bang...pomb....bang....pomb....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji13]
 
lkn hayo ni mambo Kike, ni Wanawake ndiyo huliganisha Wanaume zao na wengine ili kuwatia wivu!
Unajijua mambo yenu ya kike mnayofanyaga kwenye kitchen party
 
Kwa hiyo unamtaka raisi wetu aone wivu? Acha tabia kulinganisha na kuchonganisha Wanaume!

Hivi kuna sehemu mleta uzi amemtaja rais wenu??? Mbona unaumia hivi aisei.
 
Umeonaeeeeeeeeè?
kabisaaaa..nimepitia pitia uzi na comments mwanzo mpaka mwisho hakuna yeyote aliyemtaja...yaani swala la kumpongeza uhuru tu mtu anaingiza mambo mengi..sijui maneno ya kike duh!
 
kabisaaaa..nimepitia pitia uzi na comments mwanzo mpaka mwisho hakuna yeyote aliyemtaja...yaani swala la kumpongeza uhuru tu mtu anaingiza mambo mengi..sijui maneno ya kike duh!
Hilo ndiyo tatizo tulilo nalo hapa bongo hasa kwa vijana wa lumumba ambao kwao kila sifa wanataka iende kwao hivyo ukimsifia mtu tofauti na mapenzi yao wanakuona siyo mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…