Hongera Uhuru Kenyatta

Shida gani? Wenye kufata ulevi wa papuchi wafate tu. Kwa mmea hivo hivo. Kileo pia. Wewe unayashangaa maisha ya mwanaume mwenzako? Wewe ni mke mwenza wa mamarosa nini?
Umekosa kunielewa kimakusudi ama nini? Hakuna Hongera bila kakitu bwana eeh..Lazima hatu waonje machozi ya simbaπŸ˜€πŸ˜€
 
Umekosa kunielewa kimakusudi ama nini? Hakuna Hongera bila kakitu bwana eeh..Lazima hatu waonje machozi ya simbaπŸ˜€πŸ˜€
Umesahau kutupia pia na picha ya mama ya Rais Uhuru Kenyatta akipika maandazi. [emoji38][emoji38][emoji38] Yuziles!
 
Malkia anamsalimia Uhuru kavaa gloves.....hilo sio tusi kweli?
 
Hongera sana mh Uhuru Kenyatta
 
Malkia anamsalimia Uhuru kavaa gloves.....hilo sio tusi kweli?
Huogopi sayansi ya kiafrika wewe? Endelea kuwasalimia waafrika mikono yako ikiwa peku peku. Utaumia sana. [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…