Junior Rutashoborwa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 228
- 210
Nakumbuka siku ile umekuja nyumbani Massachusetts, kumjulia hali mzee baada ya kutolewa hospitali ya Hopkins alikokuwa amelazwa Ulitufariji sana familia yetu kwa ujumla.
Sitasahau ulipotusaidia mpaka hisa zetu kwenye kampuni la Colombia Pictures. zikarudishwa zote.
Asante sana Uncle Joe.
Najua leo ni siku maalumu unaapishwa kuwa rais rasmi wa the US. Naomba radhi sana kwa niaba ya familia yetu, kuwa hatutaudhuria sherehe hizo kwa sababu za kiusalama zaidi.
Ila nakuahidi baada ya kuapishwa tu tegemea ugeni wetu hapo White House.
Hongera Uncle Biden.