Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Yule mwehu wenu mungu wenu nilimtabiria kifo hajatoboa. Huyu mwingine nikipiga goti hata wiki 3 hatoboi.October Anatoboa. Na utakua ushakua mzoga huko ardhini.
Tulia dog
Piga Goti sasaYule mwehu wenu mungu wenu nilimtabiria kifo hajatoboa. Huyu mwingine nikipiga goti hata wiki 3 hatoboi.
Siendeshwi kwa mihemko.
Sawa kijana huyo ana nini? Ana uwezo wa kumiliki aridh? Acha uzwazwa weweKuna jeshi la kupongezwa hapa ?
Kama kijana wa form 4 tu wa Kenya anaweza kudukua akaunti yake
Wadukue tu ila wakija kuleta vurugu tz ni kuchapika mpaka wajinyee."MMANINA ZAO"🤣😂Kuna jeshi la kupongezwa hapa ?
Kama kijana wa form 4 tu wa Kenya anaweza kudukua akaunti yake
Kuna mahali jeshi la Polisi linakosea mno kutembeza kichapo kwa Kunguru wa Kenya.Wangeongeza doz 😂
Hivyo walivyomdunda inatosha,najua hana hamu,siku tatu tu kakondaKuna mahali jeshi la Polisi linakosea mno kutembeza kichapo kwa Kunguru wa Kenya.
Yule Mwangi eti anatembea anachegemea kwa kushikwa',for sure?''.alitakiwa abebwe kwenye machela azinduke baada ya kama wiki nne hivi kwa kipigo kizito.
Kuna mahali jeshi la Polisi linakosea mno kutembeza kichapo kwa Kunguru wa Kenya.
Yule Mwangi eti anatembea anachegemea kwa kushikwa',for sure?''.alitakiwa abebwe kwenye machela azinduke baada ya kama wiki nne hivi kwa kipigo kizito.
eHivyo walivyomdunda inatosha,najua hana hamu,siku tatu tu kakonda
Usinijumuishe kwenye upuuzi wako mxiuuuuuuuuuu,Ni weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu.
Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga Jaribio kubwa la kufadhili vijana kuchoma Mahakama na Vituo vya Polisi Nchini.
Uimara wa Jeshi la Polisi na kunusa Hatari ilibaidi Mwanaharakati Mkenya Alikua alishawishi wafuasi wa Chama fulani kutekeleza uhalifu mkubwa nchini ili nchi isitawalike
Tunaendelea kutoa Moyo na ushirikiano kwa Jeshi letu na wakati Huu Tunaomba watuachie Hao Wanaharakati tudeal nao kihuni ili wakurudi kwao wajue Tanzania sio Kenya .
Vijana wazalendo Tupo Tayari Kulinda Nchi yetu kwa gharama yeyote.
GM
Dawa ni kipigo tuWadukue tu ila wakija kuleta vurugu tz ni kuchapika mpaka wajinyee."MMANINA ZAO"🤣😂
Tafuta pesa mbwa wewe acha kubeba dhambi zinazogusa Damu za watu, unajitengenezea laana mbwa weweNi weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu.
Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga Jaribio kubwa la kufadhili vijana kuchoma Mahakama na Vituo vya Polisi Nchini.
Uimara wa Jeshi la Polisi na kunusa Hatari ilibaidi Mwanaharakati Mkenya Alikua alishawishi wafuasi wa Chama fulani kutekeleza uhalifu mkubwa nchini ili nchi isitawalike
Tunaendelea kutoa Moyo na ushirikiano kwa Jeshi letu na wakati Huu Tunaomba watuachie Hao Wanaharakati tudeal nao kihuni ili wakurudi kwao wajue Tanzania sio Kenya .
Vijana wazalendo Tupo Tayari Kulinda Nchi yetu kwa gharama yeyote.
GM
You must be crazy .Gen Z has hacked our government account. We have been exposedNi weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu.
Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga Jaribio kubwa la kufadhili vijana kuchoma Mahakama na Vituo vya Polisi Nchini.
Uimara wa Jeshi la Polisi na kunusa Hatari ilibaidi Mwanaharakati Mkenya Alikua alishawishi wafuasi wa Chama fulani kutekeleza uhalifu mkubwa nchini ili nchi isitawalike
Tunaendelea kutoa Moyo na ushirikiano kwa Jeshi letu na wakati Huu Tunaomba watuachie Hao Wanaharakati tudeal nao kihuni ili wakurudi kwao wajue Tanzania sio Kenya .
Vijana wazalendo Tupo Tayari Kulinda Nchi yetu kwa gharama yeyote.
GM
Yaaan hao mapolisi wanashida balaa ndio maana kuna limtu liliniomba nilinunulie bia nikalichunia nikaliwekea kindege lisinipate, na silipi hata miaWangechoma na ofisi za ccm ingependeza
Hacker wapo ulimwenguni kote ndugu.You must be crazy .Gen Z has hacked our government account. We have been exposed
Mpango wao umefeli.Wangechoma na ofisi za ccm ingependeza
Laana yangu inakuhsu nini wewe punga?Tafuta pesa mbwa wewe acha kubeba dhambi zinazogusa Damu za watu, unajitengenezea laana mbwa wewe
Sijawahi ona mchagaa mjinga namna hiiHacker wapo ulimwenguni kote ndugu.
Alafu uwe Hacker alafu pesa huna si uboya huo?
Wangehack basi BoT wachote pesa tungeona wana akili.
Next wajaribu tena kuja Tz kuleta ushoga wao
Wajaribu Waone Tutachowafanya hapa Bongo.Inawezekana tukachukulia rahisi lakini waTz wanaofanya shughuli zao Kenya, kwa akili zao yanaweza kutokea ya south africa