Hongera Vyombo vya Usalama Tanzania


😂😂😂😂😂😂
 
Vichekesho kweli.

Vyombo vya usalama unavyotueleza vinuse eti Martha Karua ni mhalifu kutoka Kenya halafu vishindwe kunusa kwa miezi 8 sasa waliomuua mzee Kibao.?

Common sense is not common.
 
Hivyo walivyomdunda inatosha,najua hana hamu,siku tatu tu kakonda
Na bila shaka kwa elimu ya maneno na vitendo aliyopewa na vyombo vyetu vya usalama hatokaa ajihusishe tena na jambo lolote linalohusu Tanzania na pia ni funzo kwa wengine kutojaribu kuchezea amani ya TZA.
 
Vichekesho kweli.

Vyombo vya usalama unavyotueleza vinuse eti Martha Karua ni mhalifu kutoka Kenya halafu vishindwe kunusa kwa miezi 8 sasa waliomuua mzee Kibao.?

Common sense is not common.
Kuna baadhi ya ripoti za uchunguzi ambazo yatakiwa zibaki ikulu kwa sababu maalumu hadi muda muafaka ufike!
Kwa mfano vyombo vyetu vya kiusalama vikileta ripoti kuwa Mzee Ally Kibao
( Allaah amrehemu ) aliuawa na watu waliotumwa na John Heche Makamu mwenyekiti wa sasa wa chadema utakubali?!
 
Ukiwa kijana alafu mfuasi wa sisiemu lazima uwe na utaahira tu bila ivo huwezi kuwa pamoja nao
 
Ficha kidogo ujinga wako.
 
Unaweza kuwa chizi lakini anayeku support anakuwa chizi zaidi yako
 
Reactions: UCD
Acha waendelee kunyoshwa lakini pia wasisahau kuwanyoosha wasaliti wa humu ndani kama Rais alivyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…