Ktk hali isiyo ya kawaida katika siasa za Tz, matokeo ya awali ya Jimbo la Kyela yanaonyesha kuwa wana Kyela wamemchagua Dr Slaa (CHADEMA) ili awe Rais, aidha mpambanaji na kipenzi cha wengi Dr Mwakyembe (CCM) amechaguliwa kwa kishindo. Hii inaonyesha ni jinsi gani wananchi wa Kyela walivyokomaa kisiasa kwa kumchagua mtu anayefaa kuwa kiongozi wao bila kujali itikadi za vyama vyao. Big up, I like that! :israel:
Uwongo mkuu wangu, fuatilia tena source yako.
Mwakyembe kashinda kwa kishindo (asilimia 90) na JK pia kashinda kwa kishindo (asilimia 75).
Ktk hali isiyo ya kawaida katika siasa za Tz, matokeo ya awali ya Jimbo la Kyela yanaonyesha kuwa wana Kyela wamemchagua Dr Slaa (CHADEMA) ili awe Rais, aidha mpambanaji na kipenzi cha wengi Dr Mwakyembe (CCM) amechaguliwa kwa kishindo. Hii inaonyesha ni jinsi gani wananchi wa Kyela walivyokomaa kisiasa kwa kumchagua mtu anayefaa kuwa kiongozi wao bila kujali itikadi za vyama vyao. Big up, I like that! :israel:
Mbona una hasira?
tuletee na kata zinginereyes,
ni kwasababu toka jana usiku tumekanusha hizo habari lakini watu bado wanakuja na uvumi. Tusichanganye watu bure hata pale ambapo kuna facts.
Dr. Slaa ameshinda kata ya kyela mjini kura 4062 wakati jk kura 2700. Nafikiri hili ndilo linawachanganya wanaopigiana simu. Kyela ina kata 23 na kwenye kata za vijijini jk kashinda kwa kura nyingi sana.
Reyes,
Ni kwasababu toka jana usiku tumekanusha hizo habari lakini watu bado wanakuja na uvumi. Tusichanganye watu bure hata pale ambapo kuna facts.
Dr. Slaa ameshinda kata ya Kyela mjini kura 4062 wakati JK kura 2700. Nafikiri hili ndilo linawachanganya wanaopigiana simu. Kyela ina kata 23 na kwenye kata za vijijini JK kashinda kwa kura nyingi sana.
tuletee na kata zingine