Hongera warembo wa JamiiForums

Bwahahahahaha uoni kuna MTU anachunga mbuzi pale,..nimempenda anafaa kwa matumizi ya binadamu
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]

Mahondaw wa Smart911[/QUOTE]
Sio kwajili ya kuchunga mkuu
Hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mbona kama unamtisha![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahaaa, hapana ndugu, ila najua changamoto hazitakodekana. Ni tofauti na mategemeo yako, picha za kwenye avatar zinaweza zisisadifu uhalisia
 
Pia nikuombe, ukikutana na mzuri, usisahau kunishirikisha, hahahaaa
 
Ni kweli mkuu wala hujakosea JF kuna warembo balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…