Hongera Wasafi Tv

Hongera Wasafi Tv

george tiru

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
200
Reaction score
147
Jana nilikuwa naangalia kipindi chenu cha Women matters, kipindi kizuri ila kilikuwa hakina utulivu, hujui nani mgeni nani muongozaji, kila mtu anongea tu kama wako Baa, infact kiliboa sana, angalieni tv zingine.
 
Nakosa cha kuchangia mkuu ngoja nipite maana Tangu majukumu yazidi sipati hata muda wa bahati mbaya wa kuwa na TV karibu..redio kidogo nasikiliza juu kwa juu.
 
We unaonekana una chuki zako binafsi kwanini useme waangalie kwa wengine hao wengine ni wakinani? Na Nani alikulazimisha uangalie.
 
innocent dependent,
Alikua anamaanisha Waangalie TV stations zingine zenye Vipindi vinavyofanana na chao Ili WAJIFUNZE!

wapi hukuelewa?
 
Back
Top Bottom