Hata nami niliangalia huzi mechi ya manchester United na Norwich ambapo Man u walilal goli 1... Nilona... lilipita tangazo... www.visit-tzanania.com.... nasikia wana mkataba wa kuonekana katika viwanja saba vya EPL...Weekend iliyopita nilibahatika kuangalia Mpira wa Miguu kati ya Timu ya Manchester united na Aston Villa ambapo Manu walishinda mabao matatu kwa mawili ya Aston Villa. shukrani za pekee ni kwa Chicharito aliyefun ga Hat trick.
Nilibahatika Kuona mkanda wa matangazo ukipita ''VISIT TANZANIA SERENGETI NATIONAL PARKS''
Ni hatua Nzuri japo tumechelewa kidogo, ndio maana kenya is the leading exporter of tanzanite