Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mtujuze sasa mna followers wangapi kwenye channel yenu ya whatsapp.
Kama ni likes tu hata Haji Manara anazo mamilioni huko tik tok, Ila hana hata followers 10 kwa channel yake ya whatsapp