Hongera Yanga.

Hongera Yanga.

Nsungamealex

Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
12
Reaction score
11
Club ya Yanga imefanikiwa kutwaa Taji la FA kwa mikwaju ya penalt baada ya kutoshana nguvu kwa goli tatu tatu.
IMG-20220702-WA0448.jpg
 
Hakukuwa na ulazima wa kutupiga na mabomu ya machozi
 
Fataki zilipendeza, ubingwa raha sana!!
 
Back
Top Bottom