Nsungamealex Member Joined Aug 12, 2021 Posts 12 Reaction score 11 Jul 2, 2022 #1 Club ya Yanga imefanikiwa kutwaa Taji la FA kwa mikwaju ya penalt baada ya kutoshana nguvu kwa goli tatu tatu.
Club ya Yanga imefanikiwa kutwaa Taji la FA kwa mikwaju ya penalt baada ya kutoshana nguvu kwa goli tatu tatu.
Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Jul 2, 2022 #2 Ynga Bingwa wa mda wote.. wengine wanaiga tu
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,904 Reaction score 9,342 Jul 2, 2022 #3 Hakukuwa na ulazima wa kutupiga na mabomu ya machozi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 3, 2022 #4 Kila la kheri zao...
Moshi25 JF-Expert Member Joined May 6, 2022 Posts 2,555 Reaction score 4,118 Jul 3, 2022 #5 Fataki zilipendeza, ubingwa raha sana!!