Hongera zako Irene Kiwia

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
MY TAKE: Mamiss wa sasa jifunzeni kutoka kwa watu kama hawa waliokua determined juu ya nini wanataka katika maisha yao sio nyie kila kukicha maskendo.
 
Warembo kama hawa ndio wakujivunia kama taifa..sio kina fulani
 
Hongera sana kwa kutuwakilisha Wataanzania. Ila anajishughulisha na nini?kwa mfano model, human rights activist, journalist etc
 
Hawa ndio wa kujivunia, sio kina muke ya muzungu kujidai education is sex while wanapiga picha wakila bugger na kuonesha cl mwisho kutusi wanawake wenzake, hongera Irene hongera sana.
 
Huyu kumbe kaolewa na muzungu eeeennhh!!!!!!

First born wake alizaa na mzungu ila hawakuoana, second born kazaa na mtoto wa Yona yule mh. wa zamani mwenye kesi na bibie aliiyumbisha kweli ndoa ya jamaa.
 
First born wake alizaa na mzungu ila hawakuoana, second born kazaa na mtoto wa Yona yule mh. wa zamani mwenye kesi na bibie aliiyumbisha kweli ndoa ya jamaa.

ww ni zaidi ya google, mmh!
 
First born wake alizaa na mzungu ila hawakuoana, second born kazaa na mtoto wa Yona yule mh. wa zamani mwenye kesi na bibie aliiyumbisha kweli ndoa ya jamaa.
duh irene katulia mno hasa baada ya kukua
mi namjua zion tu kumbe ana mwingine
 
I have always loved, and I insist, always loved Irene Kiwia.... go gal
 
yah, wawili ana shombe shombe wa kiume huyu mjukuu wa yona sijui jinsia gani hawaoneshi hovyo kwenye mitandao.

mtoto wa pili ambaye kazaa na dani yona ni wa kiume pia. huyu dani yona babake alikuwa waziri wa fedha awamu ya mkapa na kamuona mtoto wa idd simba dadake sauda kilumanga aliyekuwa mtangazaji wa itv. kiukweli irene kaiyumbisha ndoa ya dani ile mbaya manake mkewe kageuka chapombe sanaa kwa ajili ya stress za ndoa nashangaa watu wanasema ati wadada wa mujini wanaojiheshmui huyu ni big noooo…

alikuwa na mchumba mfaransa akavalishwa hadi pete akapelekwa ufaransa kutambulishwa kwa wakwe akamuacha seba wa watu alivyopata mzungu mwingine mwenye hela wee jamaa kampa mimba kalala mbele akamuambia atakuja kumchukua kabla ya kujifungua akaamkodishia nyumba tupu mikocheni akadai akirudi atakuja kununua vitu ndani mzungu akaingia mitini hajarudi ng'oo labda atarudi na Yesu. bi shosti ndo akaona ashikamane na dani yona mume wa mtu mwaka wa nane huu hamuachii mwenye mali apumue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…