M MzalendoHalisi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2007 Posts 4,679 Reaction score 1,612 Dec 13, 2007 #1 1. Thursday's Zanzibar became the first team to qualify from Group C after beating Ethiopia 3-1. 2. Rwanda 9 Jibuti 0
1. Thursday's Zanzibar became the first team to qualify from Group C after beating Ethiopia 3-1. 2. Rwanda 9 Jibuti 0
Bowbow JF-Expert Member Joined Oct 20, 2007 Posts 541 Reaction score 32 Dec 13, 2007 #2 Hao Jibut inaelekea ni mdwebedo kweli kweli
Mtu wa Pwani JF-Expert Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,191 Reaction score 677 Dec 14, 2007 #3 nnaipongeza kwa moyo wangu wote zanzibar heroes au mashujaa wa zanzibar mola atujaalie tulitwae kombe hilo la challenge ili iwe zawadi njema ya kuanza vyema mwaka 2008 na uwe wa mafanikio kwa kila kitu zanzibar.
nnaipongeza kwa moyo wangu wote zanzibar heroes au mashujaa wa zanzibar mola atujaalie tulitwae kombe hilo la challenge ili iwe zawadi njema ya kuanza vyema mwaka 2008 na uwe wa mafanikio kwa kila kitu zanzibar.