Hongera zao baadhi ya wasanii wa Marekani

Hongera zao baadhi ya wasanii wa Marekani

Sahani20

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
1,518
Reaction score
741

hongera zao baadhi ya wasanii wa marekani,
wasanii wa tanzania ni vizuri kujifunza kitu kutoka kwa hawa wasanii wenzenu sio kwamba mchukue tu kwa mashabiki, mkumbuke na kuzirudisha kwa nyakati kama zilizowapata hawa wenzetu wa texas
 
Mtoto wa DJ KHALED nae kazidi kelele.

DJ KHALED nimependa jinsi alivyohamasisha.

Safi sana.

Ni mfano wa kuigwa
 
Wasanii wa mbele wana pesa ,,halaf huyu Dj khaled anaongea vizuri kweli ana lisauti flan amazing sema tu huo unene ndio challenge
 
Back
Top Bottom