Kazakuku JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 354 Reaction score 110 Jun 11, 2019 #1 Napenda niwapongeze wale wazee wa kubet na Uzi wao kwa kufikisha reply zaidi ya 210400,aisee kubet chama LA wengi kweli nmeamini,nawasilisha.
Napenda niwapongeze wale wazee wa kubet na Uzi wao kwa kufikisha reply zaidi ya 210400,aisee kubet chama LA wengi kweli nmeamini,nawasilisha.
Mtu fulani JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 675 Reaction score 1,011 Jun 11, 2019 #2 Sportpesa na jackpot yao ni wahujumu uchumi hawa serikali iwatazame kwa makini
eminent luxy JF-Expert Member Joined Jul 25, 2018 Posts 343 Reaction score 358 Jun 29, 2019 #3 Sio watu wazuri washa nipiga pesa yangu asubuh tu mazee
N Ngulwa Member Joined Jun 13, 2020 Posts 13 Reaction score 1 Jun 13, 2020 #4 Hahaha dah kubet kwahitaji❤️
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,924 Jun 13, 2020 #5 Mtu fulani said: Sportpesa na jackpot yao ni wahujumu uchumi hawa serikali iwatazame kwa makini Click to expand... Kwanini ebu toa maelezo vizuri mbona wapo vizuri tu! Kodi wanalipa! Washindi wanatoa kwa usawa ukiwa umeshinda hela yako unatumiwa tu hakuna longolongo
Mtu fulani said: Sportpesa na jackpot yao ni wahujumu uchumi hawa serikali iwatazame kwa makini Click to expand... Kwanini ebu toa maelezo vizuri mbona wapo vizuri tu! Kodi wanalipa! Washindi wanatoa kwa usawa ukiwa umeshinda hela yako unatumiwa tu hakuna longolongo