HongeraYericko Nyerere Kwa Ghorofa la Floor Mbili,Funzi kwa Lumumba FC

HongeraYericko Nyerere Kwa Ghorofa la Floor Mbili,Funzi kwa Lumumba FC

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umoufia Kwenu wana JF,

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya YECCO Group ambayo inajishughulisha na Ndege,madini pamoja na umeme,Ndugu Yericko Nyerere ametoa funzo kwa vijana kwamba Hard work Pays.

Wengi walikuwa wanamchukulia simple tu kama mkulima wa Bamia Mbutu kumbe akili yake ni Zaidi ya King Kong,Ndugu Yericko Nyerere amejenga Ghorofa yenye floor mbili maeneo ya kichangani Mbutu mita 500 kutoka baharini.

Vijana wa Lumumba mjifunze sio lazima ulambe miguu ya viongozi wa serikali/Lumumba ili uteuliwe kuwa RC,DC,DAS,RAS,DED ili utusue kimaisha.Yericko ameweza kujenga mjengo wa zaidi ya milioni 200 Pasipo kulamba miguu ya kifutu wala ya Chakubanga.

Hongera Sana Yericko Nyerere.
YM0.jpg

1120242
YM1.jpg
 
Natafuta picha ya nyùmba ya W. J. Malecela niwaonyeshe kwamba sisi CCM sio watu wa mchezomchezo lemutuz
Hahahaha Le Mutuz amefanya kazi USA na Greek kwa zaidi ya miaka 30 anamiliki Mapagale moja lipo kinyerezi,jingine kajenga mbweni kwenye mkondo wa maji baada ya kupewa kiwanja bure.
 
Daah! Amenifumbua macho. Leo leo naachana na sisa na kujikita kwenye kilimo...
Tukutane site mwakani.
Kabisa ametupa funzo kubwa sana,vijana wa lumumba inabidi wajifunze,wengi wanachukulia kwamba lazima uwe chama chakavu ndio uweze kutusua,lazima ulambe viatu vya wenye nchi ili uweze kutusua,Yericko ametusua akiwa upinzani.

Narudia Tena Hongera Sana Yericko Nyerere mjengo sio wa kitoto huo,unaanza kupata hewa kwanza wewe kisha ndio wengine wanaanza kupata!!
 
Kweli kabisa. Huku kwenye siasa ni kupoteza muda na nguvu tu...
 
Back
Top Bottom