[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Kile kiwanja cha watu anachowapeleka mademu site visitation saa tisa za usiku kuwaonyesha mipaka wakiwa chwiiiiiiiiiiì
Hahahaha hawawezi kiwanja kina Mawe(Kimepimwa),Kama wakimnyang'anya itabidi wamlipe fidia ya kila kitu maana mjengo umejengwa na kibali.ajiandae na figisu za wale jamaa wa fitina
maana hakawii kuambiwa kavamia "open space" au kajenga kwenye kiwanja cha watoto yatima
Hapana Mkuu sio Yericko.yericko ndio wewe?
Natafuta picha ya nyùmba ya W. J. Malecela niwaonyeshe kwamba sisi CCM sio watu wa mchezomchezo lemutuz
Hahahahaa Diva alijenga Ghorofa "Instagram" ila Yericko amejenga Mbutu.Hongera sana kwake, naona anafata nyayo za Diva the Bawse.
Hawawezi maana taratibu zilifuatwa za ujenzi na kibali kilitoka,kama wakijitoa ufahama watabuluzwa mahakamani kumbuka kuna Mallya,kibatala,prof safari hawachomoki kama wakifunguliwa kesi.Serikali ilivyo na chuki kwa upinzani usishangae akawekewa ex na akaambiwa kajenga barabarani au kwenye mwambao wa bahari
Hawawezi maana taratibu zilifuatwa za ujenzi na kibali kilitoka,kama wakijitoa ufahama watabuluzwa mahakamani kumbuka kuna Mallya,kibatala,prof safari hawachomoki kama wakifunguliwa kesi.
Wakijitoa ufahamu wanaweza ila wakipelekwa mahakamani wataangukia pua round ya kwanza tu,serikali nayo inaangalia "loop holes" hawaendi kichwa kichwa,sehemu wanazofanya hivyo wanaangalia sehemu gani wanaweza wakatoka napo,eg mbowe alivyobomolewa vitega uchumi vyake kuna vitu walitoka navyo vya kiujanja ujanja......ila kwa yericko kiwanja kauziwa na manispaa ya kigamboni,vibali vya ujenzi vimetolewa na manispaa! Hapo watatafuta kumlipa ma BILIONI.Serikali haishindwi lakini huwezi jua kwani ni wangapi walikuwa na hati na vibali kamili lakini serikali ilitumia nguvu na wakabomolewa
[emoji3][emoji3][emoji3] dahHahahaha Le Mutuz amefanya kazi USA na Greek kwa zaidi ya miaka 30 anamiliki Mapagale moja lipo kinyerezi,jingine kajenga mbweni kwenye mkondo wa maji baada ya kupewa kiwanja bure.
Ainaishi hoteliniNatafuta picha ya nyùmba ya W. J. Malecela niwaonyeshe kwamba sisi CCM sio watu wa mchezomchezo lemutuz