Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
In shaa AllahKabisa natamani siku moja nusu au final ya caf kipigwe Simba na Yanga hapa Lupaso,inshallah🙏
Azam wenyewe hawana nia ya kufika mbali kwenye michuano mikubwa kimataifa na wala hawana haja ya kuchukua ubingwa kwenye mashindano ya ndaniHili tangazo linalorushwa na Azam tv hakika limejaa uzalendo na linasukuma utaifa zaidi.
Ukilisikiliza unapata msisimko wa uzalendo kabisa.
Timu zetu zipambane zisituangushe, tusonge hatua za mbele zaidi.
Pongezei Azam kwa ubunifu wa kuleta uzalendo.
Simba vs Al Ahly
Yanga vs Mamelod
Tanzania kwanza.
Kashinda Azam ila wanaoshangilia sana ni Simbaamna hiko kitu solidarity,ingeenza huk sio leo kisa na yanga kapita mpka tutafakari
Kashinda Azam ila wanaoshangilia sana ni Simbaamna hiko kitu solidarity,ingeenza huk sio leo kisa na yanga kapita mpka tutafakari
kibongo bongo uongoTuanze sasa.
We dogo msengeh hujawah kwenda jeshi wewe tuliza mapumbuHamna cha uzalendo wala nini, unafiki tu!
Solidarity forever itakuwa bongo? kila timu ipambanie hali yake
Mzee Mwinyi alipata kusema, " mwendazimu akikuvua nguo muungwana unapaswa uchutame " falsafa ya methali hii ni kwamba usifanye kosa ambalo mtu mpumbavu amefanya kwani na wewe utaonekana kama yeye( ficha uchi wako hata kwa mikono ukiwa umechutama badala ya kukimbizana na chizi aliyekuvua nguo wote mtaonekana machizi)amna hiko kitu solidarity,ingeenza huk sio leo kisa na yanga kapita mpka tutafakari
Hakuna kitu chochote zaidi ya kuwa kama pombe ya ngomani ambapo kila mwenye kata anakunywa, sasa tunawahamasisha ili waache kuwa madaraja ya timu nyingine kuvuka.Kipindi simba anamenyeka na. robo fainali zote zilizopita mbona hizo nyimbo hazikuwepo