Hongereni baadhi ya viongozi wa dini kwa kusimamia haki

Hongereni baadhi ya viongozi wa dini kwa kusimamia haki

sitaki hela

Member
Joined
Oct 10, 2022
Posts
93
Reaction score
117
Niende moja Kwa moja,

Kwa pongezi zangu Kwa baadhi ya viongozi wa dini Kwa KUSIMAMIA HAKI hasa kipindi hiki Cha uchaguzi, Mungu awabariki

Ila kuna baadhi ya viongozi wa dini wenyewe wanasubiri kuwaibia waumini sadaka zao kwa kuwaongopea njoo na hiki, mara chukua hiki, utapona, hapa nawalenga baadhi ya wanaojiita manabii, sijawahi sikia wanakemea maovu, wamebaki kusifia tu, mfano kutekwa Kwa watu, kupotea, wapinzani kukamatwa, hata kile kipindi Tundu Lissu kupgwa risasi, wenyewe wanasubiri Jumapili ifike wakusanye sadaka

Sio jambo zuri, usifikiri Mungu hawaoni, ipo siku mtajibu
 
Back
Top Bottom