sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Wadau wa Biashara United.. Watani Zangu...
Mzalendo39 kapalamsenga chuma cha reli theriogenology mmteule LABANI BARAKA Antonio de Guzman Dunamist Mtile shiu yang kuku mweus -KANA- Dukeson Molembe 3 Angels message Tatigha miminimkulimaakachekasana Chrizo Kasara Magafu mwita ke mwita jakitoo Frank Wanjiru n.k
... hongereni kwa mafanikio mliyofikia hadi sasa. Nisiwe mchoyo wa fadhila, nawashukuru sana kwa mlichomfanyia Singida United a.k.a Yanga B katika mechi ya ufunguzi wa TPL.
Lakini, je mna taarifa kua lile gharika kuu Simba SC alilokua awashushie 27/09/2018 katika dimba la Taifa Stadium, limesitishwa na TFF?? Na hii ni baada ya TFF kudai hiyo mechi wataipangia siku nyingine. Naamini hivi sasa viyunga vyote vya Msoma mnasherekea hili suala.
Sasa ile dozi tuliyowaandalia tunaipeleka 30/09/2018 pale tutakapokutana na Ndala. Ikumbukwe, huyu Ndala dozi yake ilishaandaliwa tayari. Sasa sijui kajiandaaje kupokea dozi 2 kwa wakati mmoja?
Sisi hatutaki kuelewa hilo, maana hakuna namna sasa.
Nikiripoti toka katika mtaa wa Ngokolo hapa Shinyanga Mjini... Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)