Hongereni Biashara United Kwa Kulikwepa Gharika Hili.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Wadau wa Biashara United.. Watani Zangu...
Mzalendo39 kapalamsenga chuma cha reli theriogenology mmteule LABANI BARAKA Antonio de Guzman Dunamist Mtile shiu yang kuku mweus -KANA- Dukeson Molembe 3 Angels message Tatigha miminimkulimaakachekasana Chrizo Kasara Magafu mwita ke mwita jakitoo Frank Wanjiru n.k
... hongereni kwa mafanikio mliyofikia hadi sasa. Nisiwe mchoyo wa fadhila, nawashukuru sana kwa mlichomfanyia Singida United a.k.a Yanga B katika mechi ya ufunguzi wa TPL.

Lakini, je mna taarifa kua lile gharika kuu Simba SC alilokua awashushie 27/09/2018 katika dimba la Taifa Stadium, limesitishwa na TFF?? Na hii ni baada ya TFF kudai hiyo mechi wataipangia siku nyingine. Naamini hivi sasa viyunga vyote vya Msoma mnasherekea hili suala.

Sasa ile dozi tuliyowaandalia tunaipeleka 30/09/2018 pale tutakapokutana na Ndala. Ikumbukwe, huyu Ndala dozi yake ilishaandaliwa tayari. Sasa sijui kajiandaaje kupokea dozi 2 kwa wakati mmoja?
Sisi hatutaki kuelewa hilo, maana hakuna namna sasa.

Nikiripoti toka katika mtaa wa Ngokolo hapa Shinyanga Mjini... Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
 
Hakuna Namna Ndala Tukutane Taifa.
 
Ndala wetu mbona ila iyo siku simba tukifungwa hamna kung'oa vitu tunalala mbele na hajimanara na genge lake lote na bus sizan kama tutalisalimisha
 
Ndala wetu mbona ila iyo siku simba tukifungwa hamna kung'oa vitu tunalala mbele na hajimanara na genge lake lote na bus sizan kama tutalisalimisha
Hahaha.. Naona Mkuu unatoa angalizo mapema.
 
Ndala wetu mbona ila iyo siku simba tukifungwa hamna kung'oa vitu tunalala mbele na hajimanara na genge lake lote na bus sizan kama tutalisalimisha
 
Hahah we jamaa sembo una mbwembwe kwelikweli....

Kama mlishindwa kutafuna mbao za mwanza mtawaweza wanaume wa shoka kutoka kanda maalamu...

Ila tarehe 30 naomba msiniangushe hakikisheni mnazikanyagia yeboyebo vizuri...
 
Hahaha.. Julio alishawahi kusema "Yanga ni sawa na mti wa muembe uliopo uani.. Tukijisikia hamu ya embe tunatoka nje na kwenda kuchuma"
Hivi sasa tuna hamu na maembe, na 30/09/2018 tumeitenga maalumu kwa ajili ya kuchuma maembe.
 
Hahaha.. Julio alishawahi kusema "Yanga ni sawa na mti wa muembe uliopo uani.. Tukijisikia hamu ya embe tunatoka nje na kwenda kuchuma embe"
Hivi sasa tuna hamu na maembe, na 30/09/2018 tumeitenga maalumu kwa ajili ya kuchuma maembe.
Mimi ni simba damu damu ila nakuomba mzee sembo siku hiyo tusije kupoteana humu ndani...

Naona page ya simba iliyopo facebook imetelekezwa baada ya kuchezea kipigo kutoka kwa mbao...
 
Mimi ni simba damu damu ila nakuomba mzee sembo siku hiyo tusije kupoteana humu ndani...

Naona page ya simba iliyopo facebook imetelekezwa baada ya kuchezea kipigo kutoka kwa mbao...
Hahaha.. Mkuu kwa kipigo tunachoenda kuwashushia nakimbiaje.. Tutakua pamoja.
 
Mkuu Mimi Simba damu lkn biashara chama la home Simba tungempiga hasa kipindi tunavyocheza kama tumebanwa pumbu
 
Brother Sembo huko Mara timu imepata pigo la kunyang'anywa basi jipya walilokuwa wamepewa na Donni maarufu huko Musoma sasa wanatembelea Coaster mbovuuuu. Pole yao vijana wa kazi
 
Brother Sembo huko Mara timu imepata pigo la kunyang'anywa basi jipya walilokuwa wamepewa na Donni maarufu huko Musoma sasa wanatembelea Coaster mbovuuuu. Pole yao vijana wa kazi
Kumbe ndo mana hata performance ya timu imeshuka.. Jana mmepata drop ya 3 mfululizo. Poleni sana Mkuu.. Ndo matatizo ya kuiingiza 'siasa' michezoni.
Alafu Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima anajiita yeye ni mdhamini mkuu wa Timu.. Kwann sasa asifanye namna?
 
Hawezi kufanya namna Mkuuu kwasababu mtoaji wa Basi na Bonasi keshawekwa korokoloni na JPM na kwa maaana hiyo Biashara United imebaki yatima na kusababisha Vijana waaanze kupata Taaabu saaaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…