comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Majamaa siyapendi ila YANA AKILI MINGI SANAChezea CCM weyeee, wanabofya tu twichiii basi raia wote ni kusebenzeka tu hadi wapinzani wenyewe humo humo.
Alooooh 😂😂😂😂
Noma sanaMajamaa siyapendi ila YANA AKILI MINGI SANA
Kwenu mkifiwa huwa hammalizi msiba. Miaka yote mnaomboleza?Miaka 30 ya bongo flava ni yenu, mnaidhamini nyie ili kuondoa watu wasijadili vitu Fulani, MEFANIKIWA
Dudubaya mnamtumia nyie
Kupiga vita ushoga ni jambo zuri sana , lakini kwenye jambo hilo zuri na nyie mkapenya mkaanza kumtumia dudubaya kwa akili nyingi sana kwasasa upepo umehama,mara basata, mara sijui Nini, ingekua serikali haimtaki kweli dudubaya angeshapotea na hakuna mtu maarufu angemuunga mkono.
CCM ndio wanaoizidisha hii trend ya kulinda mgongo, kwasasa no lissu, no mo 29, no nchimbi wala polepole, Hadi wanaharakati wameingia kwenye mfumo.
Kwa kiufupi ccm nao ni mamambaz24
Yote kwa yote TULINDE MIGONGO HALI NI MBAAAAYAAAA.
NYIE MADEMU PIA LINDENI MIGONGO HIYO WATU WANAPENDA SANA MINDUKU YA KIKE SASAHIVI.
Ccm Wana akili nyingi sana
Heko kwao
Huwez elewaWeka humu 🗑️
CCM wanaakili sanaKwenu mkifiwa huwa hammalizi msiba. Miaka yote mnaomboleza?
Kula hamli tena
Kunyya hamnyi
Kulomba, hamlombani tena kwa sababu mmefiwa ?
Kwa sababu sio lazima nieleweHuwez elewa
📌Kwa sababu sio lazima nielewe
I know it long time ago, ni vile siwezi kupiga kelele tu.Miaka 30 ya bongo flava ni yenu, mnaidhamini nyie ili kuondoa watu wasijadili vitu Fulani, MEFANIKIWA
Dudubaya mnamtumia nyie
Kupiga vita ushoga ni jambo zuri sana , lakini kwenye jambo hilo zuri na nyie mkapenya mkaanza kumtumia dudubaya kwa akili nyingi sana kwasasa upepo umehama,mara basata, mara sijui Nini, ingekua serikali haimtaki kweli dudubaya angeshapotea na hakuna mtu maarufu angemuunga mkono.
CCM ndio wanaoizidisha hii trend ya kulinda mgongo, kwasasa no lissu, no mo 29, no nchimbi wala polepole, Hadi wanaharakati wameingia kwenye mfumo.
Kauli mbiu YBWYB
Huwa napenda sana JamiiForums Members wenye Akili Kubwa kama Wewe hapa. Ulichokiandika ndiyo Ukweli mtupu japo najua Matomaso wakiongozwa na Expensive life watakubishia na hadi kukukosoa.Miaka 30 ya bongo flava ni yenu, mnaidhamini nyie ili kuondoa watu wasijadili vitu Fulani, MEFANIKIWA
Dudubaya mnamtumia nyie
Kupiga vita ushoga ni jambo zuri sana , lakini kwenye jambo hilo zuri na nyie mkapenya mkaanza kumtumia dudubaya kwa akili nyingi sana kwasasa upepo umehama,mara basata, mara sijui Nini, ingekua serikali haimtaki kweli dudubaya angeshapotea na hakuna mtu maarufu angemuunga mkono.
CCM ndio wanaoizidisha hii trend ya kulinda mgongo, kwasasa no lissu, no mo 29, no nchimbi wala polepole, Hadi wanaharakati wameingia kwenye mfumo.
Kwa kiufupi ccm nao ni mamambaz24
Yote kwa yote TULINDE MIGONGO HALI NI MBAAAAYAAAA.
NYIE MADEMU PIA LINDENI MIGONGO HIYO WATU WANAPENDA SANA MINDUKU YA KIKE SASAHIVI.
Ccm Wana akili nyingi sana
Heko kwao
Watu washaingizwa kwenye clampWatanzania ku support ujinga wapo vizuri sana
INGEKUA ishu serious kweli watu maarufu wangekaa mbali kama wanavyokaaga mbali na ishu zinazoihusu jamii kukandamizwa.Huwa napenda sana JamiiForums Members wenye Akili Kubwa kama Wewe hapa. Ulichokiandika ndiyo Ukweli mtupu japo najua Matomaso wakiongozwa na Expensive life watakubishia na hadi kukukosoa.
Wenye Akili Kubwa wenzako tulipoona tu baada ya BASATA kumuadhibu Dudubaya na haraka sana Msemaji wa Yanga SC na baadhi ya Makampuni kujitokeza kumtetea huku Mitandaoni suala lake likipewa hyping ya hali ya juu tukajua kuwa Script ilizingatiwa vizuri na aliyeiandaa kafanikiwa 100%
Aslimia kubwa ya watz wanahamishika, kama wewe hauhamishik mpo wachache sana, eti basata inamfungia dudu, halafu makada na wabunge wa ccm wanamsapoti dudu Hadi kwa kuchangia, hakunaga iyoHii hoja ya kuleta jambl fulani kwa ajili ya kuzima jambo fulani imekaa kipumbavu.
Ukiwa na akili zako timamu unaweza kujadili ya Dudu Baya na ukajadili pia ya Tundu Lissu.
Ni mpumbavu pekee anaweza akahamishwa mada na kina Wema Sepetu.
Hakika Mkuu.INGEKUA ishu serious kweli watu maarufu wangekaa mbali kama wanavyokaaga mbali na ishu zinazoihusu jamii kukandamizwa.