HONGERENI CCM kwa kucheza karata zenu vizuri

Akili finyu za mwafrica mnahangaika na mashoga dunia ya leo,wamewakosea nini?hamna kitu na umaskini mpaka matakoni huku mnauana na kutekana hamuoni ila kuwachukia mashoga ndio muhimu👎
 
Sijui kama unajitambua ipasavyo kwa hichi ulichoandika.

Mtu yeyote anayejitambua hawezi kurubunika na ajenda hii ya linda mgongo wako na kumfanya kuiona CCM ya maana.

Chama cha Mapinduzi lini uliona wanaongelea na kukemea ushoga na ulawiti kwenye jamii yetu licha ya mambo haya kufanyika waziwazi.

CCM hata ifanye kipi kwa watu wanaojitambua haiwezi kuwapoteza na kuwafanya waipende.
 
RUDIA TENA KUSOMA, USIPOELEWA TENA ITAKUA HII IKO NNJE YA UELEWA WAKO.
 
Acha watu waishi ,siasa ni uchawa tupu..Mtalia mpaka lini ?
 
Sisiem Mbele kwa mbeleeeee!!
Natamani siku Moja moto ushuke uwachome makhabithi wote wa ccm, ila ndio inabaki Dua la kuku TU.
Mzee Mungu kama unanisikia hawa jamaa siku wakirudi kwako waongezee adhabu,kipindi wanaungua na moto waandalie machine ya nondo zilizochongoka.huku wanaungua huku wanatobolewa na na hizo nondo. Halafu kuwe na nondo kuu iwe inazama kwenye tundu la mavih na kutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…