Hongereni Chato secondary na Magufuri secondary

loulla

Senior Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
125
Reaction score
91
Nachukua nafasi hii kuzipongeza shule za Chato na Magufuli kwa kupata matokeo mazuri kidato cha sita 2017, hii ni moja ya njia ya kutokumuangusha rais wetu, mmefanya vizuri kwa kutokutoa div 4 na 0.
nmejaribu kucompare na shule chache zenye majina kama hizi na kuona mnastahili pongezi

na nyingine nyingi, hongereni sana[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we acha tuu
 
Loyola imeingiaje hapo?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huu mwaka overall results ni nzuri, usishangae kuona hamna div 4, hiyo ni karibu shule zote majority wamepata one-three...

Ili ujihakikishie uhakika wa kwenda chuo inabidi ugonge div one kabisa, otherwise competition itakuwa kubwa sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wanafunzi wamefanya vizuri

Tunawatakia masomo mema mbeleni na wapae zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…