Jamani Ni wakumbushe kidogo;
hawa vijana niwale wa mwaka 2012 walio chujwa kwenda kidato cha tatu, kwa wastani wa 30 na walioshindwa kufikia wastani huo walikalili darasa,
ukifuatilia hata mwaka 2014 walifanya vyema pia matokeo yao ya kidato cha nne yalikua mazuri! Na dio hawa tena wamefanya vizuri mwaka huu!!
Fatilia shule nyingi za serikali zimefaulisha vijana!
Hili nifunzo kwa serkali kuacha siasa kwenye elimu warudishe mchujo wa maaana! Watapata matokeo mazuri!