hongereni chelsea fans

hongereni chelsea fans

Vin Diesel

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
9,088
Reaction score
6,384
hongereni sana ze bluz kwa kumpiga man utd goli mbili kwa moja.
mvua yaja.:rain::rain::rain::rain::rain:
 
hahaaaaaaa sie arsenal tumefurahi sana sababu jamaa wamestopishwa so tunatakiwa kushinda game ijayo kweli ligi ngumu sana mwaka huu yeyote anaweza kumfunga mwenzake ila nasikitika tumeshaanza kua na majerui wengi yaani key players kama vanpersie,walcot na fabrigus
 
arsenal mtapigwa hiyo match.hamna uelekeo
 
mwanangu hata sielewi tuna gundu gani ila ubahili ndio unaotuponza ila tungekamilika siku hiyo tungeshind man sina imani kabisa na arsenal baada ya kuumia fabrigus,vanpersie na walcot
arsenal mtapigwa hiyo match.hamna uelekeo
 
Back
Top Bottom