hahaaaaaaa sie arsenal tumefurahi sana sababu jamaa wamestopishwa so tunatakiwa kushinda game ijayo kweli ligi ngumu sana mwaka huu yeyote anaweza kumfunga mwenzake ila nasikitika tumeshaanza kua na majerui wengi yaani key players kama vanpersie,walcot na fabrigus