Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Desemba 25 nilienda Ku withdraw pesa ATM. Kadi ikamezwa, nikapiga namba ya simu iliyobandikwa ukutani ndani ya ATM. Baada ya dakika 10 wahudumu wakaja, wakaingia ndani na kuniletea kadi yangu✅. Yaani desemba 25 wako kazini. Big up.