Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Itakuwa Mbezi, kuna mtu nilimkuta kadi yake imemezwa, sijajua kama aliwacheck ama lah! Jana hiyo.Tawi la wapi?
Me kutoa hela kwa kadi hadi naogopaga. Niliwahi kulala mahala ambapo sikutegemea.Itakuwa Mbezi, kuna mtu nilimkuta kadi yake imemezwa, sijajua kama aliwacheck ama lah! Jana hiyo.
Inakuaje hadi kadi yako imezwe? Itaendelea kumezwa hadi lini?Desemba 25 nilienda Ku withdraw pesa ATM. Kadi ikamezwa, nikapiga namba ya simu iliyobandikwa ukutani ndani ya ATM. Baada ya dakika 10 wahudumu wakaja, wakaingia ndani na kuniletea kadi yangu✅. Yaani desemba 25 wako kazini. Big up.
Hahah pole sana, dirishani/wakala mm mpaka niwe nahitaji bunda kubwa! Plus kupoteza mdaMe kutoa hela kwa kadi hadi naogopaga. Niliwahi kulala mahala ambapo sikutegemea.
Pamba Road Mwanza.Tawi la wapi?
Inakuaje hadi kadi yako imezwe? Itaendelea kumezwa hadi lini?
Mimi sikutozwa hata senti moja. Na halikuwa tawi bali ATM iliyo kwenye kituo cha mafuta cha Oryxy.Aiza wewe ni crdb unajitupia ujiko au huwajui crdb wewe upande wa kastama kea.
Unaweza kulia machozi aisee.
Kuna siku nilikuwa safari, nafika moshi kadi ikamezwa tena tawi kubwa kabisa pale moshi mjini, na muda wa kazi ulikuwa bado nikazama ndani nikamuona kijana mmoja kaulamba fresh tu nikajua huyu mshkaji muelewa nikampa shida yangu akachangamka kishenzi nikawaza kama wewe. Yule mbwa alinitolea kweli kadi ila alinidai hela balaa. Yaani iligeuka deni alidai hela utadhani kaniuzia kitu
Pole aseeIlikuwa ime expire November mwezi uliopita. Sikujua. Baada ya kuitoa wakanijulisha hilo ndilo tatizo.
Crdb wanajitahidi sana.Desemba 25 nilienda Ku withdraw pesa ATM. Kadi ikamezwa, nikapiga namba ya simu iliyobandikwa ukutani ndani ya ATM. Baada ya dakika 10 wahudumu wakaja, wakaingia ndani na kuniletea kadi yangu✅. Yaani desemba 25 wako kazini. Big up.