MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Hongereni sana watani kwa kufanikiwa kutinga hatua ya makundi klabu bingwa Barani Afrika.Pongezi pia kwa Tanzania kwa kufanikiwa kuingiza vilabu viwili katika mashindano makubwa barani Afrika.Ninavyoona kwa kasi hii ya ukuaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania, Miaka mitano mbele Tanzania itakuwa tishio Afrika.Vilabu vingi havitatamani kuja kucheza na vilabu vya Tanzania.
Pongezi pia kwa Azam na Singida Fountain Gates. Mmmejitahidi kwa uchanga wenu mpaka kufikia hapo mlipofikia, Msikate tamaa, Tuangalie tulipokosea, Tujipange zaidi kwa Msimu ujao!
Tchao!
Pongezi pia kwa Azam na Singida Fountain Gates. Mmmejitahidi kwa uchanga wenu mpaka kufikia hapo mlipofikia, Msikate tamaa, Tuangalie tulipokosea, Tujipange zaidi kwa Msimu ujao!
Tchao!