Hongereni finalists SUA kwa kumaliza chuo

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wanafunzi waliomaliza, kozi za Bachelor of Veternary Medicine (BVM),Bachelor of Food Science & Tech (FST),Bachelor of Agriculturural Engineering (AGE), Bachelor of Irrigation and Water Resource Engineering (IWRE), Bachelor Of Bioprocessing and Post Harvesting Engineering(BPE), Agronomy, Hortculture, Aqua Culture(Aqu) Culture, BLS, Education, Agriculture General, Family Consumer, Human Nutrition, Rural Development Na BTM.


Kwani mmeweza vyema kuvuka mishale ya Prof. Mrema, Dr. Rwegasira, Sibuga K.P(Prof), Mulengera(Prof), Chove(Dr), Mamilo, Kisetu na Mtakwa.


Hongereni sana!
 
Karibuni kwenye changamoto zaidi za maisha mtaani......
 
Kwani matokeo ya UE bado? SUA nyamaume hukawii kudisco mzima mzima last semester!
 
Hongereni kumaliza karibuni kwenye miaka mingine ya kutafuta kazi
 
karbun huk uraiyan kwa prof.maisha hana semister wala nin ni ujanja wako tu kusoma nyakat za kusaka pesa
 
chuo pekee bora kilichosalia TZ.
 
Jaman habari za asbuh,nawapenda sana ndgu zangu kwan upendo ndo faraja pekee ktk maisha ya mwanadam.Jaman naomba msaada hv vyuo vya kilmo na mifugo wamkwsha aachia post?Asubh njma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…