HONGERENI ITV KWA KUTUJALI

kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Posts
4,235
Reaction score
4,964
ITV kwa sasa taarifa ya habari ya saa 2 Watangazaji wanasoma muhtasari wa habari then wanazunguka nyuma kwenda kukaa katika viti na kuendelea na habari. Utaratibu huu nimeupenda sana hasa siku hiyo mtangazaji akiwa mdada. Naomba kuwasilisha
 
ITV ndio super brand hawa wengine wanajiita mawingu mimi nawaona kama they are just a music club mana ndicho wanachokiweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…