JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
Takwimu za Video zao Mtandaoni za Jana na Leo za watu waliokuwa wanfuatilia uchaguzi chadema Kupitia JAMBO TV
(Hizi ni chache tu ila ukiingia kwenye Youtube utaona vile walivyopata engagemnet kubwa
napenda kutoa salamu za pongezi za dhati kwa Jambo TV Tanzania, televisheni ya mtandaoni ambayo imekuwa kioo cha uwazi na ukweli katika kurusha maudhui kwa uwiano bila kuogopa watawala. Kwa ujasiri wenu wa kuhakikisha sauti za Watanzania zinasikika na ukweli unaangaziwa, mmekuwa chachu ya mabadiliko katika jamii yetu.
Pia, nawapongeza kwa kazi kubwa na nzuri mliyofanya wakati wa uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya taifa. Michango yenu ya kitaalamu na yenye uzalendo katika kufikisha taarifa kwa umma kwa uwazi na uwajibikaji, imekuwa mfano wa kuigwa kwa vyombo vingine vya habari nchini.
Mmetuonyesha kwamba vyombo vya habari vinaweza kuwa chombo cha haki, maendeleo, na mshikamano wa kijamii. Endeleeni na moyo huo wa kutetea ukweli, haki, na uwajibikaji. Taifa lina waandishi mahiri, wapambanaji wa kweli kama ninyi.
Hongereni sana na endeleeni kupaza sauti za wanyonge kwa manufaa ya taifa letu.
🅴 TUNDU LISSU ANAZUNGUMZA MUDA HUU
Kutazamwa: elfu 140Ilitiririshwa saa 2 zilizopitaMOTO UMEWAKA MLIMANI CITY KURA ZA MBOWE NA LISSU ZIKIHESABIWA
Kutazamwa: elfu 92Ilitiririshwa saa 8 zilizopitaMTIFUANO MKALI LISSU NA MBOWE MLIMANI CITY
Kutazamwa: elfu 125Ilitiririshwa saa 23 zilizopita(Hizi ni chache tu ila ukiingia kwenye Youtube utaona vile walivyopata engagemnet kubwa