JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,487
- 2,599
Kweli kabisa hata UTV pia walijitahidi. nimewapongeza JAMBO maana hata wakati wa uchaguzi wa serikal za mitaawalikuwa wanarusha habari zote hata zle ambazo huwezi kuzikuta kwenye chombo kingine chochoteMkuu hata "CROWN TV" wwanastahili pongezi na shukrani za dhati kabisa Nao walirusha mwanzo mpaka mwisho. Hongera kwa uongozi na menejimenti.
HahahaMimi niliangalizia TBC
Wajitahidi kwenye video quality ... Wameachwa parefu na UTVMkuu hata "CROWN TV" wwanastahili pongezi na shukrani za dhati kabisa Nao walirusha mwanzo mpaka mwisho. Hongera kwa uongozi na menejimenti.
Mkuu UTV ni Tajil unamfananisha na mtoto ambaye hata mwaka hana!!!!Wajitahidi kwenye video quality ... Wameachwa parefu na UTV
Jambo TV ni next level.....toka enzi za Magu wako ByeeeeeTakwimu za Video zao Mtandaoni za Jana na Leo za watu waliokuwa wanfuatilia uchaguzi chadema Kupitia JAMBO TV
🅴 TUNDU LISSU ANAZUNGUMZA MUDA HUU
Kutazamwa: elfu 140Ilitiririshwa saa 2 zilizopita
MOTO UMEWAKA MLIMANI CITY KURA ZA MBOWE NA LISSU ZIKIHESABIWA
Kutazamwa: elfu 92Ilitiririshwa saa 8 zilizopita
MTIFUANO MKALI LISSU NA MBOWE MLIMANI CITY
Kutazamwa: elfu 125Ilitiririshwa saa 23 zilizopita
(Hizi ni chache tu ila ukiingia kwenye Youtube utaona vile walivyopata engagemnet kubwa
napenda kutoa salamu za pongezi za dhati kwa Jambo TV Tanzania, televisheni ya mtandaoni ambayo imekuwa kioo cha uwazi na ukweli katika kurusha maudhui kwa uwiano bila kuogopa watawala. Kwa ujasiri wenu wa kuhakikisha sauti za Watanzania zinasikika na ukweli unaangaziwa, mmekuwa chachu ya mabadiliko katika jamii yetu.
Pia, nawapongeza kwa kazi kubwa na nzuri mliyofanya wakati wa uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya taifa. Michango yenu ya kitaalamu na yenye uzalendo katika kufikisha taarifa kwa umma kwa uwazi na uwajibikaji, imekuwa mfano wa kuigwa kwa vyombo vingine vya habari nchini.
Mmetuonyesha kwamba vyombo vya habari vinaweza kuwa chombo cha haki, maendeleo, na mshikamano wa kijamii. Endeleeni na moyo huo wa kutetea ukweli, haki, na uwajibikaji. Taifa lina waandishi mahiri, wapambanaji wa kweli kama ninyi.
Hongereni sana na endeleeni kupaza sauti za wanyonge kwa manufaa ya taifa letu.
Itv walizoea kubebwa na Mfumo....walipokosana na mwenye nyumba wakayumba hadi leo hawajainuka tenaIt sasa wamelala sana..... Ila hata hivyo hawana jipya.
Tbc na Uhuru Fm walirusha Andiko la Yerricko hadi wakawa wanaweka na Titles na Sound 🤣🤣🤣Mimi niliangalizia TBC
SahihiPia, nawapongeza kwa kazi kubwa na nzuri mliyofanya wakati wa uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya taifa. Michango yenu ya kitaalamu na yenye uzalendo katika kufikisha taarifa kwa umma kwa uwazi na uwajibikaji, imekuwa mfano wa kuigwa kwa vyombo vingine vya habari nchini.
kweli kabisaJambo TV ni next level.....toka enzi za Magu wako Byeeeee
Kweli asee huwei kabisa linganisha hao ni watu wawili tofauti kabisaMkuu UTV ni Tajil unamfananisha na mtoto ambaye hata mwaka hana!!!!