Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Tanzania tuna jambo la kujifunza namna ya kuibana serikali iachane na kodi kandamizi zinazopelekea maisha kuwa magumu.
Baadhi ya maeneo ambayo kenya wamekuwa wakali ni kodi kwenye mafuta ya kula ambapo ni rahisi kuagiza mafuta kenya kuliko yanayozalishwa nchini.
Kadi katika mitandao ya simu nalo limekuwa kaa la moto kwa serikali.
Hakika majirani hamna kulemba kuhusu ukali wa maisha.