Hongereni mabingwa wa FA Cup, Arsenal The Gunners na S.S.C

Hongereni mabingwa wa FA Cup, Arsenal The Gunners na S.S.C

Joined
May 25, 2017
Posts
12
Reaction score
3
Yote kwa yote ligi mbalimbali duniani kote zimefikia tamati na mabingwa kupatikana. Napenda kutoa pongezi zangu kwa Arsenal Na Simba kufanikiwa kushinda ubingwa wa FA, kila la heri kwenu na sasa mjipange vizuri kwa msimu ujao wa ligi.
 
Kabisaa wajipange kwa maana ligi ya msimu ujao very challenging
 
Back
Top Bottom