Tanzania Salesman Member Joined May 25, 2017 Posts 12 Reaction score 3 May 29, 2017 #1 Yote kwa yote ligi mbalimbali duniani kote zimefikia tamati na mabingwa kupatikana. Napenda kutoa pongezi zangu kwa Arsenal Na Simba kufanikiwa kushinda ubingwa wa FA, kila la heri kwenu na sasa mjipange vizuri kwa msimu ujao wa ligi.
Yote kwa yote ligi mbalimbali duniani kote zimefikia tamati na mabingwa kupatikana. Napenda kutoa pongezi zangu kwa Arsenal Na Simba kufanikiwa kushinda ubingwa wa FA, kila la heri kwenu na sasa mjipange vizuri kwa msimu ujao wa ligi.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 29, 2017 #2 Kabisaa wajipange kwa maana ligi ya msimu ujao very challenging
Tanzania Salesman Member Joined May 25, 2017 Posts 12 Reaction score 3 May 29, 2017 Thread starter #3 Joseverest said: Kabisaa wajipange kwa maana ligi ya msimu ujao very challenging Click to expand... Ushauri wangu kwa timu zote mbili ziongeze viungo washambuliaji, ila pia wasibadili makocha katikati ya msimu.
Joseverest said: Kabisaa wajipange kwa maana ligi ya msimu ujao very challenging Click to expand... Ushauri wangu kwa timu zote mbili ziongeze viungo washambuliaji, ila pia wasibadili makocha katikati ya msimu.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 29, 2017 #4 Tanzania Salesman said: Ushauri wangu kwa timu zote mbili ziongeze viungo washambuliaji, ila pia wasibadili makocha katikati ya msimu. Click to expand... umeona eee..ila pale Arsenal mzee amekalia kuti kavu mkuu
Tanzania Salesman said: Ushauri wangu kwa timu zote mbili ziongeze viungo washambuliaji, ila pia wasibadili makocha katikati ya msimu. Click to expand... umeona eee..ila pale Arsenal mzee amekalia kuti kavu mkuu
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,919 Jul 26, 2020 #5 Hongereni sana
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jul 26, 2020 #6 Utopolo njooni muangalie marudio ya mechi azam tv labda mtasawazisha