Hatuwlewi Hilo . Maisha ya Daktari kudeal na ndugu zenu wanaokuja hospital katika hali hata ya kutia kinyaa but we hold and save leo Daktari bingwa amachamgiwa na watu wa darasa la sabaKwa kutumia Hekima na Busara za udaktari, haitakuwa ni vema sana kuendeleza huo mtifuano kwa kuwalipizia Polisi wote kisasi kwani aliyepigana ni mmoja lakini walioshiriki kumpiga daktari ni polisi wengi lakini pia sio kweli kwamba Polisi wote wanaofika hospital kupata huduma ni wale walioshiriki kumpiga dokta.
Changamoto nyingine Polisi wengi wa Tanzania ni form four failures just as Muliro Jumanne . Nadhani kwa sasa tuna degree holders wengi tutoke kwenye form four failures !Jambo ambalo lipo wazi hakuna watu WAONGO kama polisi wa Tanzania na ni kama uongo wao unalindwa na sheria .
Changamoto nyingine Polisi wengi wa Tanzania ni form four failures just as Muliro Jumanne . Nadhani kwa sasa tuna degree holders wengi tutoke kwenye form four failures !
Hatujaona Traffic yakielezwa makosa yake ni yapi bali tumeona uongo aliotupiwa Agonza.
Agonza alijitambulisha kuwa mimi ni tabibu Nina wahi Hospital na nimetaarifiwa patient load ya leo ni kubwa hivyo naomba usinizuie ili niweze kuwahi.
I personally agree hii request ya Agonza kwa Traffic, ninamfahamu Agonza ni mtaratibu na mwenye aibu na nilimtangulia madarasa.
Trafic alikataa kumuelewa Dr na kwa hasira akachomoa funguo ya gari huku akimwambia udaktari wako peleka Hospital.
Ndipo Agonza akashuka na kuanza kumwambia Traffic ninaomba funguo yangu , huku Traffic anamwambia usinifuate na ndipo Agonza akaanza kuichukua kwa nguvu wakati huo simu yake inaendelea kupigwa mbona umechelewa Daktrari!
Patient load ya leo ni kubwa!
Ni katika purukushani za kunyanganyana funguo ndio wakadondoshana up and down na picha zikamuonesha Dr on the top polisi wakatunga uongo humo humo
.Agonza hakumpiga mtu ngumi , ile Posture ni alikua anavuta funguo yake.
Hata waliompiga Agonza , ni wale askari kanzu wanaokamata Bodaboda huku Muliro akidanganya umma kuwa alipigwa na wananchi. Ni UONGO kama alivyodanganya mauaji ya Oct 29.
Soma Pia: Chama cha Madaktari Tanzania watoa Tamko Juu ya Kukamatwa kwa Dkt. Conrad Agonza Kahyoza
Sisi tumepokea uhuni wenu Polisi, tutakutana Hospital si huwa mnakuja na uniform zenu. Specialist wote wa Hospitals unganen kwenye hili .
Darasa la saba hawawezi kudhalilisha professional yenye Hippocratic Oath.
Hakuna ambacho Daktari anapata zaidi ya Utumishi
Moja ya utumishi wa hovyo kabisa Tanzania ni utumishi wa udaktari na Afya . Imagine a general Dr with salary ya 1.5 , hardly take home ya 1.M anaenda kupambania miaka mingine 3 hadi 5 ya kuwa bingwa ili kuja tu kulipwa 1.8M ili apate take home ya 1.5 to 1.4 . with patient load ya Tanzania huku mostly una risk afya yako the more unavyo interact na wagonjwa kama polisi ambao wananuka hadi usaha.
Thanks to MAT kusimama na Dr! Ila Daktari wetu amepigwa sana, naishauri MAT itafute namna ya kuwaadhibu hawa polisi as a silent mode.
Daktari bingwa hawezi kudhalilishwa vile na watu ambao hawajui hata anatomy ya anus zao - kuitwa daktari bingwa takes a lot of madness to achieve hiyo title - hii sio title ya short course ya kusoma alama za barabarani!
Chezeeni hao hao wanasiasa wenzenu, huku tutawamaliza kwa namna tunayoona inafaa.
Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada π¨π¦, Rue 52
Downtown
i....Jambo ambalo lipo wazi hakuna watu WAONGO kama polisi wa Tanzania na ni kama uongo wao unalindwa na sheria .
Changamoto nyingine Polisi wengi wa Tanzania ni form four failures just as Muliro Jumanne . Nadhani kwa sasa tuna degree holders wengi tutoke kwenye form four failures !
Hatujaona Traffic yakielezwa makosa yake ni yapi bali tumeona uongo aliotupiwa Agonza.
Agonza alijitambulisha kuwa mimi ni tabibu Nina wahi Hospital na nimetaarifiwa patient load ya leo ni kubwa hivyo naomba usinizuie ili niweze kuwahi.
I personally agree hii request ya Agonza kwa Traffic, ninamfahamu Agonza ni mtaratibu na mwenye aibu na nilimtangulia madarasa.
Trafic alikataa kumuelewa Dr na kwa hasira akachomoa funguo ya gari huku akimwambia udaktari wako peleka Hospital.
Ndipo Agonza akashuka na kuanza kumwambia Traffic ninaomba funguo yangu , huku Traffic anamwambia usinifuate na ndipo Agonza akaanza kuichukua kwa nguvu wakati huo simu yake inaendelea kupigwa mbona umechelewa Daktrari!
Patient load ya leo ni kubwa!
Ni katika purukushani za kunyanganyana funguo ndio wakadondoshana up and down na picha zikamuonesha Dr on the top polisi wakatunga uongo humo humo
.Agonza hakumpiga mtu ngumi , ile Posture ni alikua anavuta funguo yake.
Hata waliompiga Agonza , ni wale askari kanzu wanaokamata Bodaboda huku Muliro akidanganya umma kuwa alipigwa na wananchi. Ni UONGO kama alivyodanganya mauaji ya Oct 29.
Soma Pia: Chama cha Madaktari Tanzania watoa Tamko Juu ya Kukamatwa kwa Dkt. Conrad Agonza Kahyoza
Sisi tumepokea uhuni wenu Polisi, tutakutana Hospital si huwa mnakuja na uniform zenu. Specialist wote wa Hospitals unganen kwenye hili .
Darasa la saba hawawezi kudhalilisha professional yenye Hippocratic Oath.
Hakuna ambacho Daktari anapata zaidi ya Utumishi
Moja ya utumishi wa hovyo kabisa Tanzania ni utumishi wa udaktari na Afya . Imagine a general Dr with salary ya 1.5 , hardly take home ya 1.M anaenda kupambania miaka mingine 3 hadi 5 ya kuwa bingwa ili kuja tu kulipwa 1.8M ili apate take home ya 1.5 to 1.4 . with patient load ya Tanzania huku mostly una risk afya yako the more unavyo interact na wagonjwa kama polisi ambao wananuka hadi usaha.ta
Thanks to MAT kusimama na Dr! Ila Daktari wetu amepigwa sana, naishauri MAT itafute namna ya kuwaadhibu hawa polisi as a silent mode.
Daktari bingwa hawezi kudhalilishwa vile na watu ambao hawajui hata anatomy ya anus zao - kuitwa daktari bingwa takes a lot of madness to achieve hiyo title - hii sio title ya short course ya kusoma alama za barabarani!
Chezeeni hao hao wanasiasa wenzenu, huku tutawamaliza kwa namna tunayoona inafaa.
Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa, Department of Oncology
Canada π¨π¦, Rue 52
Downtown
Kuna mmoja huyo niliingia bank (nmb) nikaenda toilet na bag mgongoni, ile narudi anaanza kufoka unaendaje na bag chooni mara hairuhisiwi anafoka ovyo na vitisho kibao. Nilijikuta nimempandia juu nikamfoka balaa hadi akajiona mjinga na kupoa!Reasoning ya askari polisi wengi iko chini sana. Hata kwenye matukio ya kumuelewesha tu mtu; utashangaa wanaleta vitisho, wanafoka, wanapiga kelele, wanakuandiki faini, nk.
Mimi kiukweli ninawachukia sana.
Ila kalpana π π πHapo kwenye kutokujua anatomy ya Anus zao ndo pakubwa sana....mnaweza mkaziformat upya mkazilegeza
Kati ya watu wenye upeo mdogo ni wewe . Na tambua kuwa hata mahakama imeona ni upumbavu kuendelea na huu ujinga wenuWe mpumbavu na hi
We mpumbavu na hiyo PhD yako isiyo na msaada subiri uamuzi wa mahakama. Hv kumbe na madaktari ni wapumbavu hivi? Umeandika upuuzi mtupu, eti ameambiwa kuna load kubwa, kwa hiyo avunje sheria za usalama barabarani? Agonge hata watu kisa amechelewa? Huyo daktari mzembe asiyejua ratiba yake. Yaliyotokea tulishuhudia kwenye mitandao uwongo wa Muliro uko wapi. Shukuru ni serikali ya mama, huyo mbwa mwenzenu ni wa kufukuzwa kazi na MAT haiwezi kumsaidia. Huyo unayemwita mwenyewe anumwa anatakiwa atibiwe. Daktari gani anashindwa kuheshimu majukumu ya mtumishi mwenzie, afanyiwe uchunguzi wa kina huyo dr. Mpumbavu
SJG ina funguo ya kuchomoa?Sema kibongo bongo ukiwa na kibunju unadharaulika sana,lingekuwa subanga sjg sijui kama angethubutu kuchomoa funguo kama kamkamata bodaboda vile.
Mwamba alikuwa na haki ya kubalamaki hapa mazarau yalizidi.
Hata kama sio kuchomoa funguo ila namna yoyote ya dharau ile hapa naongeleaSJG ina funguo ya kuchomoa?