Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
kinaitwa chuo kikuu ardhi na sio chuo cha ardhi...kipo adjacent na mliman(udsm) from ubungo njoo darjan kama unaelekea mwenge kuna kituo cha daladala panda gari za chuo then shuka ardhi..or ukitoka mwenge/makumbusho panda gari za chuo shuka ardhi utakuwa umefika...official website ya chuo ni Ardhi University
karibuni sana
karibuni sana