Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mechi ya jana tunajua kila kitu kilichofanyika, kwanza walianza na Dodoma kule Dodoma lkn hawakufanikiwa, wakafanya na Singida hawakufanikiwa, wakatumia nguvu kubwa sana na Raja, hata kama Raja ni wazuri kiasi gani lkn sio kwa yale yaliyotokea jana, tunajua waarabu walimwaga mpunga wa kutosha kwa mahasimu waliopo ndani ya Simba ambao hawamtaki Mangungu ili tu kutunyima raha, wengine walisikika wakipigiana simu kuambiana wametimiza ahadi zao jana na bado.
Endeleeni kuhujumu timu lkn kuna siku tutaelewana kidogo kidogo, najua mnajipanga kuipa ubingwa Yanga kwenye mechi yetu na Azam.Lakin yana mwisho haya.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app