Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Acha ujinga wewe!Mechi ya jana tunajua kila kitu kilichofanyika, kwanza walianza na Dodoma kule Dodoma lkn hawakufanikiwa, wakafanya na Singida hawakufanikiwa, wakatumia nguvu kubwa sana na Raja, hata kama Raja ni wazuri kiasi gani lkn sio kwa yale yaliyotokea jana, tunajua waarabu walimwaga mpunga wa kutosha kwa mahasimu waliopo ndani ya Simba ambao hawamtaki Mangungu ili tu kutunyima raha, wengine walisikika wakipigiana simu kuambiana wametimiza ahadi zao jana na bado.
Endeleeni kuhujumu timu lkn kuna siku tutaelewana kidogo kidogo, najua mnajipanga kuipa ubingwa Yanga kwenye mechi yetu na Azam.Lakin yana mwisho haya.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Khe!! Imefikia hukuMechi ya jana tunajua kila kitu kilichofanyika, kwanza walianza na Dodoma kule Dodoma lkn hawakufanikiwa, wakafanya na Singida hawakufanikiwa, wakatumia nguvu kubwa sana na Raja, hata kama Raja ni wazuri kiasi gani lkn sio kwa yale yaliyotokea jana, tunajua waarabu walimwaga mpunga wa kutosha kwa mahasimu waliopo ndani ya Simba ambao hawamtaki Mangungu ili tu kutunyima raha, wengine walisikika wakipigiana simu kuambiana wametimiza ahadi zao jana na bado.
Endeleeni kuhujumu timu lkn kuna siku tutaelewana kidogo kidogo, najua mnajipanga kuipa ubingwa Yanga kwenye mechi yetu na Azam.Lakin yana mwisho haya.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Namimi nataka nijue hizo hujuma zinafanya vipi kazi?Sasa hua sielewi, ni kwamba mnawaambia wachezaji wacheze ovyo au? Wafungwe makusudi au! Yaani hii nchi Kuna mijitu mijinga sana, wenzako wanawekeza pesa nyingi kuanzia kwa wachezaji, vifaa vya mazoezi, uwanja, makocha na trainees, madaktari wa timu, maslahi ya wachezaji we uko busy na majungu na ushirikina eti unasema mnahujumiwa