Hongereni na pole form six 2013!

Hongereni na pole form six 2013!

mchapafito

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
608
Reaction score
301
Kwa kweli hawa madogo waliomaliza form six mwaka 2013 binafsi nawakubali sana,na ni aibu kama sio kuwakosea heshima ukiaanza kuwacompare na hawa wa BRN mwaka huu 2014 na hata miaka mingine for that matter.grade zilizotumika kwa hawa viajana waliomaliza form six 2013 hazijawahi tumika na NECTA before na walidai hawatokuja kuzitumia tena,so mpaka hapo tunaona uniqueness katika matokeo yao..kwa mafano ona hapa chini daraja za 2013 na hizi za BRN 2014.

MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79; C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S = 40 – 44 na F =0 – 39.

MWAKA 2014 BRN: A= 75 – 100, B+ = 60 - 74, B=50- 59, C =40 - 49, D =30 - 39, E= 20 - 29, F= 0 – 19.

So unaweza ukaona ni kwa namna gani huwezi fananisha form 6 wa 2013 na yule wa 2014 au miaka mingine

so kwa mfano mwaka 2014 mtu aliyepata 78 huyu ana A lakin kwa 2013 hiyo ni B, au 2014 mtu aliyepata 52 huyo ana B ambayo 2013 ni E so mtu mwenye E tatu 2013 anakuwa na div 3 pts 15 while 2014 huyo ana div 2 pts 9 na kwa miaka mingineyo huyo mtu angekuwa na D na zikiwa tatu ana div 2 pts 12...

huo ni mfano mdogo tu katika kulinganisha 2013,2014 na miaka mingineyo na ukitaka uone utofauti ni pale TCU kwa mwaka 2014 wanaposhusha daraja moja matokeo ya sasa ili uwe sawa na miaka mingine na binafsi naona wangeshusha hata daraja mbili ili kuleta ulinganifu na old grading system......all in all pole na hongera form six 2013!!!!!!!
 
Kwa kweli hawa madogo waliomaliza form six mwaka 2013 binafsi nawakubali sana,na ni aibu kama sio kuwakosea heshima ukiaanza kuwacompare na hawa wa BRN mwaka huu 2014 na hata miaka mingine for that matter.grade zilizotumika kwa hawa viajana waliomaliza form six 2013 hazijawahi tumika na NECTA before na walidai hawatokuja kuzitumia tena,so mpaka hapo tunaona uniqueness katika matokeo yao..kwa mafano ona hapa chini daraja za 2013 na hizi za BRN 2014
MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79; C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S = 40 – 44 na F =0 – 39.

MWAKA 2014BRN:A= 75 – 100, B+ = 60 - 74, B=50- 59, C =40 - 49, D =30 - 39, E= 20 - 29, F= 0 – 19
So unaweza ukaona ni kwa namna gani huwezi fananisha form 6 wa 2013 na yule wa 2014 au miaka mingine
so kwa mfano mwaka 2014 mtu aliyepata 78 huyu ana A lakin kwa 2013 hiyo ni B,au 2014 mtu aliyepata 52 huyo ana B ambayo 2013 ni E so mtu mwenye E tatu 2013 anakuwa na div 3 pts 15 while 2014 huyo ana div 2 pts 9 na kwa miaka mingineyo huyo mtu angekuwa na D na zikiwa tatu ana div 2 pts 12...huo ni mfano mdogo tu katika kulinganisha 2013,2014 na miaka mingineyo na ukitaka uone utofauti ni pale TCU kwa mwaka 2014 wanaposhusha daraja moja matokeo ya sasa ili uwe sawa na miaka mingine na binafsi naona wangeshusha hata daraja mbili ili kuleta ulinganifu na old grading system......all in all pole na hongera form six 2013!!!!!!!

Umenena mkuu.
 
Kwa kweli hawa madogo waliomaliza form six mwaka 2013 binafsi nawakubali sana,na ni aibu kama sio kuwakosea heshima ukiaanza kuwacompare na hawa wa BRN mwaka huu 2014 na hata miaka mingine for that matter.grade zilizotumika kwa hawa viajana waliomaliza form six 2013 hazijawahi tumika na NECTA before na walidai hawatokuja kuzitumia tena,so mpaka hapo tunaona uniqueness katika matokeo yao..kwa mafano ona hapa chini daraja za 2013 na hizi za BRN 2014.

MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79; C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S = 40 – 44 na F =0 – 39.

MWAKA 2014 BRN: A= 75 – 100, B+ = 60 - 74, B=50- 59, C =40 - 49, D =30 - 39, E= 20 - 29, F= 0 – 19.

So unaweza ukaona ni kwa namna gani huwezi fananisha form 6 wa 2013 na yule wa 2014 au miaka mingine

so kwa mfano mwaka 2014 mtu aliyepata 78 huyu ana A lakin kwa 2013 hiyo ni B, au 2014 mtu aliyepata 52 huyo ana B ambayo 2013 ni E so mtu mwenye E tatu 2013 anakuwa na div 3 pts 15 while 2014 huyo ana div 2 pts 9 na kwa miaka mingineyo huyo mtu angekuwa na D na zikiwa tatu ana div 2 pts 12...

huo ni mfano mdogo tu katika kulinganisha 2013,2014 na miaka mingineyo na ukitaka uone utofauti ni pale TCU kwa mwaka 2014 wanaposhusha daraja moja matokeo ya sasa ili uwe sawa na miaka mingine na binafsi naona wangeshusha hata daraja mbili ili kuleta ulinganifu na old grading system......all in all pole na hongera form six 2013!!!!!!!
Umechambua vizuri mkuu...hoja yako ina mashiko!!!......NOTHING TO ADD KWA KWELI....hii ni changamoto kubwa kwa serikali na vyuo maana wasipokuwa makini ni bomu hili
 
Back
Top Bottom