njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
yes yes yes hongera dikteta Kagame atleast unajali ....kuna ncgi ya kusadikika hadi leo haijui idadi ya raia wake waliokwama huko ni full u]unafiki tu, raia wa Rwanda wanafunzi waliokwama ni 85 , 79 wako poland na Blearus , 6 wako njiani wako in contact na balozi za Rwanda..kuan nchi ya kusadikiaka haina hata data na mitandao yake ya kijamii imejaa unafiki ukiandika kwa hisia ni full threads kutolewa