njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
yes yes yes hongera dikteta Kagame atleast unajali ....kuna ncgi ya kusadikika hadi leo haijui idadi ya raia wake waliokwama huko ni full u]unafiki tu, raia wa Rwanda wanafunzi waliokwama ni 85 , 79 wako poland na Blearus , 6 wako njiani wako in contact na balozi za Rwanda..kuan nchi ya kusadikiaka haina hata data na mitandao yake ya kijamii imejaa unafiki ukiandika kwa hisia ni full threads kutolewaView attachment 2135447
Ndo maana nilikiwa nampenda jiwe kwanye maamuzi,,wakweyu wamekqlia kutalii Dubai wala hawajali