Hongereni sana TAKUKURU ( PCCB ) kwa Kuvitaja Vyuo Vikuu vya UDSM na UDOM ndiyo Vinara wa Rushwa ya Ngono

Hongereni sana TAKUKURU ( PCCB ) kwa Kuvitaja Vyuo Vikuu vya UDSM na UDOM ndiyo Vinara wa Rushwa ya Ngono

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI

Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili.

Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
20201128_145411.jpg
 
TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI

Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili.

Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
Hahahahaa...hii thinking yako inatosha kutujuza SAUT kinatoa watu wa aina gani
 
Sidhani kama swala hili nalo ni la kuliangalia kichuo na kuanza kujivuna.

Udsm na Udom ni vyuo vya public, huwenda kesho na keshokutwa akaenda kusoma ndugu au jamaa yako wa kike.

Sasa unaonaje kwa wao kwenda kusoma kwenye vyuo vyenye sifa mbaya kama hii?
 
Kutaja wahalifu bila wahalifu kutiwa mbaroni na kufikishwa mahakamani ni bure kabisa.
 
Ina maana, MBELGIJI hakukosea kupaita JALALANI...!!!
 
Back
Top Bottom