Hongereni sana timu ya Wananchi

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Kweli meza imepinduliwa. Mnyama amekatwa mkia. Katika siku niliyofurahi maishani mwangu ni leo kwa Yanga kuifunga Simba. Tambo za Simba zilivuka mpaka na wakaiona Yanga ni timu bovu (Underdogs) mbele yao. Uwekezaji uliofanywa na simba haulingani na mchezo waliounyesha leo. Msije mkamlaumu kocha kuwa mnaweza kumtimua ilivyo kawaida yenu. Mpira ni dakika 90 pamoja na hayo matokeo ya leo natumaini imewauma sana.

Kwa viongozi wa Yanga kwanza ninawashukuru sana nikianzia na Mwenyekiti Msolla, Kocha Emayael, Charles Boniface Mkwasa- Master na Nugaz na wote ambao sikuwataja. Sasa ile bonasi ya 200millioni msiwanyime wachezaji. Nirudie tena

HONGERENI SANA TIMU YA WANANCHI - YANGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…