K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 948 Reaction score 1,627 Aug 16, 2024 #1 Ninawapongeza sana kwa mwanzo mzuri wa ligi ya NBC 2024/25 kwa kutoka sare na Tanzania Prisons uwanja wa Kirumba. Mmecheza kandanda safi na kwa mwendo huo tuna matumaini mtaendelea kufanya vizuri huko mbeleni. Hongereni sana. PIA SOMA - Full Time: Pamba Jiji Fc 0-0 Tanzania Prisons
Ninawapongeza sana kwa mwanzo mzuri wa ligi ya NBC 2024/25 kwa kutoka sare na Tanzania Prisons uwanja wa Kirumba. Mmecheza kandanda safi na kwa mwendo huo tuna matumaini mtaendelea kufanya vizuri huko mbeleni. Hongereni sana. PIA SOMA - Full Time: Pamba Jiji Fc 0-0 Tanzania Prisons
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Aug 16, 2024 #2 Sare sio matokeo mazuri Uwanja wa nyumbani
stow away JF-Expert Member Joined Dec 5, 2022 Posts 11,073 Reaction score 21,945 Aug 16, 2024 #3 Sare ndio mwanzo mzuri?