Hongereni sana Yanga SC Timu ya Wananchi kwa Tamasha la jana mlifunika. Mlijaza viwanja viwili vya Mkapa na Uhuru.
Wachezaji walionyesha kandanda safi kwa asilimia 73 kwa 27. Pasi zao zilikuwa za uhakika na hata Makamu wa Rais alifurahishwa na kutamka ni timu gani kama Yanga.
Mmefunika Matamasha yote. Kama ni sherehe ile ya jana ilikuwa ndo HARUSI yenyewe na siyo SEND OFF. Mmetufurahisha. Tunawasubiri tarehe 8 mwezi huu.
Hongereni sana Timu ya Wananchi.
Soma pia: FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium