Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Kama mnavyojua hakuna chama cha hovyo kuwahi kutokea duniani kama hiki chama Cha walimu Tanzania (CWT)
Zaidi ya kuwakata walimu 2% ya mshahara
Kisha kuwaletea tisheti na kofia Kila mwaka hakuna kingine Cha maana kilifanya,
Wakati wa Raisi Magufuli aliibua hoja kuhusu hiki chama ikiwemo kuuliza kuhusu mapato na matumizi,
Juzi hapa viongozi wake wakateuliwa kuwa wakuu wa Wilaya lakini baada ya kuona "Hela za bwerere" huko CWt wakakataa kwenda,
Sasa serikali ikaona ipige pale pale kwenye mshono,
Ikajitoa katika kuwatetea CWT, na Sasa walimu zaidi ya 1000 kwa miezi hii miwili tu tayari wamefanikiwa kujitoa katika chama hicho!
Na pia Kuna tetesi kuwa makato ya 2% yatasitishwa kwa wote mpaka pale taarifa itakapotolewa!
Kwasasa viongozi Wa CWT wanahaha, huku wakipita na tisheti mashuleni wao wenyewe na fomu ili kuwarubuni walimu wasitoke!